Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria Angellah Kairuki, akiwa katika picha ya pamoja na watumishi wa Mahakama ya Mwanzo ya Kerege iliyopo Wilayani
Bagamoyo mkoa wa Pwani alipokuwa kwenye ziara ya siku moja wilayani humo.
.Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki, akiwa katika picha ya
pamoja na watumishi wa Mahakama ya Mwanzo ya Kerege iliyopo Wilayani
Bagamoyo mkoa wa Pwani alipokuwa kwenye ziara ya siku moja wilayani
humo.
Naibu Waziri wa Katiba
na Sheria Angellah akisisitiza umuhimu wa kutoa adhabu mbadala kwa watuhumiwa
baada ya hukumu zao kukamilika alipokuwa anaongea na watumishi wa Mahakama ya
Mwanzo ya Kerege (hawapo pichani) iliyopo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani
kwenye ziara yake ya siku moja wilayani
humo. Wa kwanza kushoto ni Hakimu Mkazi Mfawidhi Mkoa wa PwaniBahati Ndeserua,
wa kwanza kushoto ni Msajili Mahakama kuu, kanda ya Dar es salaam Projestus
Mhagama.
Afisa Tawala Mahakama
ya Rufaa Tanzania Daniel Msangi (wa kwanza kulia) akifafanua katika mahakama ya
Wilaya ya Bagamoyo kuhusu stahili na madai mbalimbali ya watumishi katika idara
ya mahakama nchini wa kati wa ziara ya Naibu Waziri wa Katiba na Sheria
Angellah (wa kwanza kushoto) alipokuwa kwenye ziara ya siku moja wilayani mkoa
wa Pwani. Wa pili kushoto ni Msajili Mahakama kuu, kanda ya Dar es salaam
Projestus Mhagama, anayefuatia ni Mkurugenzi Msaidizi Mahakama za Mwanzo
Tanzania Warsha Ng’humbo.
Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Angellah na watumishi wa Mahakama ya Mwanzo
ya Msoga-Lugoba iliyopo Wilayani Bagamoyo mkoa wa Pwani alipokuwa kwenye
ziara ya kikazi ya siku moja wilayani humo.
Post a Comment