Askari polisi (kulia)ambao wamepelekwa
katika uwanja wa Nduli Iringa kwa ajili ya usalama wa rais Jakaya
Kikwete wakijifanya kazi ya kupiga picha kwa camera na simu zao za
mkononi kwa ajili ya matumizi binafsi na kuacha kazi iliyowapeleka
uwanjani hapo na kufanya kazi ya ulinzi wa Rais jambo ambalo ni hatari
zaidi na kuna haja na jeshi la polisi kama chombo cha usalama wa rais
wetu kulitazama hili kwani kama litaachiwa yale yaliyotokea uwanja wa
samora tarehe 14 mwezi huu wakati wa kuzima mwenge kwa kijana
asiyefahamika kutaka kuuvamia mwenge mbele ya rais litajirudia katika
mazingira kama haya.
Credit: Francis Godwin
Post a Comment