Spika wa Bunge, Anne Makinda, akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) jana kuhusu mkutano wa 34 wa
'Southern Africa Development Community Parliamentary Forum' (SADC PF)
unaotarajia kuanza Oktoba 21 hadi 24, jijini Arusha, ambapo unatarajiwa
kuhudhuliwa na washiriki 150 kutoka katika nchi 12 za Afrika. Kushoto ni Mkurugenzi wa Habari, Elimu kwa Umma na Uhusiano wa Kimataifa wa Bunge, Jossey Mwakasyuka. Na Mpigapicha Wetu
Loading...
Home » Unlabelled » Spika wa Bunge, Anne Makinda Azungumza na Waandishi wa Habari Kuhusu mkutano wa 34 wa 'Southern Africa Development Community Parliamentary Forum' (SADC PF) unaotarajia kuanza Oktoba 21 hadi 24, jijini Arusha
Post a Comment