Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

KINACHOENDELEA KATIKA ZIARA YA RAIS KIKWETE MKOANI GEITA

 

 
D92A0053
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimtwika ndoo ya maji Bibi Asha Ahmadi kutoka katika kijiji cha Shinyanga A wakati wa hafla ya uzinduzi wa Mradi wa maji wa Nyakafuru ulofanyika katika kijiji cha Shinyanga A,Wilayani Mbogwe, Mkoani Geita leo asubuhi. D92A0614
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akimsabahi mtoto Pascal John aliyelazwa katika kituo cha afya Iboya Wilayani Mbogwe wakati Rais Kikwete alipozindua Wodi ya akina mama leo. D92A1277
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akifunua kitambaa kuzindua rasmi mradi wa Umeme Katoro,Mkoani Geita leo(picha na Freddy Maro)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top