Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Uongozi wa Wizara ya Afya wakutana na Rais wa Zanzibar Dk.Shein

IMG_3401
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya   katika
utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika  Ukumbi wa
Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_3404
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Afya
wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara
hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza
la Mapinduzi DK.Ali Mohamed Shein,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu
Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_3406 
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
DK.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Afya   katika
utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika  Ukumbi wa
Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top