Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angelah Kairuki akifungua Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume
Mwenyekiti
wa Tume Mhe Jaji Aloysius Mujulizi akisoma taarifa yake wakati wa
kufungua mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ambaye sasa ni Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi Mhe
Jaji Mstaafu Damian Lubuva akichangia mada wakati wa maadhimisho ya
miaka 30 ya Tume
Spika Mstaafu Mhe Pius Msekwa akiwasilisha mada wakati wa mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume
Aliyekuwa
Msajili wa Vyama vya Siasa na Kamishna wa Tume Bw. George Liundi
akichangia mada katika Mkutano wa Maadhimisho ya Miaka 30 ya Tume
Aliyekuwa
Mwenyekiti wa Tume ambaye sasa ni Jaji wa Mahakama ya Rufaa Mhe. Jaji
Profesa Ibrahim Juma akitunukiwa Cheti na Naibu Waziri wa Katiba na
Sheria Mhe. Angelah Kairuki
Picha ya pamoja ya Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angelah Kairuki na Wenyeviti wastaafu wa Tume
Naibu
Waziri wa Katiba na Sheria Mhe Angelah Kairuki akiwa katika picha ya
pamoja na Makatibu Watendaji wastaafu wa Tume waliokaa Bw. Nathaniel
Issa (Kulia) na Bw. Japhet Sagasii (wa pili kulia).
Picha
ya Pamoja baina ya Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angelah
Kairuki na washiriki wa Mkutano wa maadhimisho ya miaka 30 ya Tume.
Picha zote na Munir Shemweta LRCT
Post a Comment