Naibu
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Mhe. Ummy Mwalimu
akifungua kikao cha majadiliano ya taarifa juu ya Utafiti Kuhusu Hali ya
Demokrasia katika ngazi za chini kwa mtizamo wa kijinsia Mwenyekiti
wa kikao hicho Mhe. Ibrahimu Lipumba akitoa taarifa za Awali za Matokeo
ya Utafiti huo. Mhe.Lipumba amesema Utafiti huo ulihusisha madodoso mia
sita(600) kutoka katika Mikoa minane nchini
Baadhi ya Washiriki wa kikao wakati wa majadiliano
Naibu
Waziri wa Maendeleo Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Ummy Mwalimu amefungua
kikao cha Kujadili Matokeo ya Utafiti wa Hali ya Demokrasia
katika ngazi za chini kwa mtizamo wa Kijinsia.
katika ngazi za chini kwa mtizamo wa Kijinsia.
Kikao kimeandaliwa na Kituo cha Demokrasia nchini kwa ushirikiano wa Shirika la Kimataifa la IDEA, na kuvishirikisha Vyama
vya siasa, Wizara, Halmashauri na Baadhi ya Taasisi Zisizo za Kiserikali.Kuijadili taarifa hiyo.
vya siasa, Wizara, Halmashauri na Baadhi ya Taasisi Zisizo za Kiserikali.Kuijadili taarifa hiyo.
Wakati akifungua kikao Mhe.Ummy amesisisitiza kuwa, Demokrasia kamili
haiwezi kupatikana bila ushiriki sawa wa wanaume na wanawake na kuongeza kuwa, Serikali za mitaa ni wadau wakubwa wa kuleta usawa wa demokrasia.
(Picha zote na Asteria Muhozya- MWJJW)
(Picha zote na Asteria Muhozya- MWJJW)
Post a Comment