Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Dk.Shein azungumza na Wizara ya Katiba na Sheria

IMG_0035
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,akizungumza na Uongozi wa Wizara ya
Katiba na Sheria, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar, [Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
 IMG_0036
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya  Katiba na Sheria,wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za
Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,(hayupo pichani)katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
IMG_0040

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top