Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Rais Dkt. Kikwete akutana na viongozi Mbalimbali Colombo Srilanka

 


D92A3019
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Rais Jackob Zuma wa Afrika ya Kusini mwishoni mwa mkutano wa wakuu wan chi za jumuiya ya Madola uliomalizika jijini Colombo Srilanka leo. D92A3043
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiagana na katibu mkuu wa Jumuiya za madola Dkt.Kamalesh Sharma jijini Colombo Srilanka mwshoni mwa mkutano wa wakuu wa nchi hizo leo. D92A3108
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akizungumza na Waziri Mkuu wa Australia Tony Abbott(kushoto) na Waziri Mkuu wa New Zealand John Key(wapili kushoto) muda mfupi baada ya kumalizika mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya madola jijini Colombo nchini Srilanka leo mchana.Watatu kushoto pembeni ya Rais ni Waziri wa mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh.Bernard Membe. D92A3186
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na Waziri Mkuu wa Malaysia Mohamed  Najib Abdul Razak mwishoni mwa mkutano wa jumuiya ya Madola uliofanyika jijini Colombo Srilanka(picha na Freddy Maro)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top