Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

RAIS WA ZANZNIBAR DKT. SHEIN AZUNGUMZA NA UONGOZI WA WIZARA YA ELIMU

 


 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein, akizungumza na Uongozi wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali, katika utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kushoto) Makamo wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif Hamad.Picha na Ramadhan
Othman Ikulu.
Baadhi ya Viongozi mbali mbali wa Wizara ya Elimu na Mafunzo ya Amali,wakiwa katika mkutano wa  utekelezaji wa Mpango wa kazi za Wizara hiyo,chini ya Mwenyekiti wake Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,katika  Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top