Kada wa chama cha Mapinduzi Mustafa Sabodo ametoa sh milioni 30 kwa
ajili ya ujenzi wa ofisi ya chadema katika jimbo la Mbogwe wilaya ya
Kibondo Kigoma.
Sabodo amekabidhi fedha hizo jana kwa Kada wa Chadema
Arcado Ntagazwa mbele ya Katibu mkuu Dr Wilbrod Slaa.
Sabodo amesema
ametoa fedha hizo kukiunga mkono chama hicho katika jitihada zake za
kutetea wanyonge,pia Sabodo ameahidi kuendelea kukisaidia chama hicho
kila itakapohitajika.
Source Tanzania Daima.
on Friday, November 22, 2013
Post a Comment