Wanamuziki
wanaotajwa kuwa na mvuto zaidi barani Afrika, P Square, wamewasili
usiku huu katika uwanja wa ndege wa Mwalimu JK Nyerere kwa ajili ya
onesho lao linalotarajiwa kufanyika Jumamosi hii katika viwanja va
Leaders Club maeneo ya Kinondoni jijini Dar es Salaam.
Pichani
juu ni Petter(wa pili kutoka kushoto na Paul). Kulia ni Meneja Uhusiano
wa Vodacom Tanzania ambao ndio wadhamini wakuu wa onesho lao ambalo
limeratibiwa na East africa Radio na TV
Hapa wakifanya mahojiano na kituo cha East Africa TV ambao ndio wenyeji wao
Mahojiano na picha za hapa na pale zikiendelea...
Vijana wakielekea kupumzika tayari kwa kazi
Post a Comment