Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasalimia wananchi wa kijiji
cha Rudisha baada ya kumsimamisha na kumtaka asalimiane wananchi .
Ujumbe unaomtaka Katibu Mkuu wa CCM Ndugu asimame kwenye kijiji cha Maganagana japo wamsalimi.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana na wananchi wa kijiji cha Makatani wakati akielekea wilaya mpya ya Nyasa
Post a Comment