Mwenyekiti
Mtendaji wa Chama cha Waandishi wa Habari za UKIMWI(AJAAT) Simon Kivamo
(katikati) akibadilishana mawazo na Mkurugenzi wa Habari na
Uraghibishi wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI(TACAIDS) Jumanne
Isango(kulia) jana (leo) jijini Dar es salaam wa wakati wa kutangaza
washindi wa shindano la makala za UKIMWI lilioendeshwa na
AJAAT kwa mwaka 2013. Kushoto ni Meneja Mawasiliano wa AJAAT Perege
Gumbo.Mshindi
wa Tatu wa Makala za mapambano dhidi ya UKIMWI kwa upande wa
magazeti ambaye pia ni Mwandishi wa Gazeti la The Citizen Peter
Muthamia(kushoto) akipokea hundi ya shilingi laki tatu (300,000/-)
kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi wa Tume ya Taifa ya
Kudhibiti UKIMWI(TACAIDS) Jumanne Isango(kulia) baada ya kuwa miongoni
mwa washindi. Mshindi
wa pili wa Makala za mapambano dhidi ya UKIMWI kwa upande wa
magazeti ambaye pia ni Mwandishi wa Gazeti la TanzaniaDaima Hellen
Ngoromera (kushoto) akipokea hundi ya shilingi laki tatu na
nusu(350,000/-) kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi wa Tume
ya Taifa ya Kudhibiti UKIMWI(TACAIDS) Jumanne Isango(kulia) baada ya
kuwa miongoni mwa washindi.Mshindi
wa nne kwa Makala za mapambano dhidi ya UKIMWI kwa upande wa
magazeti ambaye pia ni Mwandishi wa Gazeti la Jamboleo Eben –Ezey
Mende(kushoto) akipokea hundi ya shilingi laki mbili na nusu(250,000/-)
kutoka kwa Mkurugenzi wa Habari na Uraghibishi wa Tume ya Taifa ya
Kudhibiti UKIMWI(TACAIDS) Jumanne Isango(kulia) baada ya kuwa miongoni
mwa washindi.Mkurugenzi
wa Habari na Uraghibishi wa Tume ya Taifa ya Kudhibiti
UKIMWI(TACAIDS) Jumanne Isango(kulia) akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa
habari(hawapo pichani) jana(leo) jijini Dar es salaam wakati wa
kutangaza washindi wa shindano la makala za UKIMWI lilioendeshwa na
Chama cha Waandishi wa Habari za UKIMWI(AJAAT) kwa mwaka 2013. Wengine
katika picha ni Mwenyekiti Mtendaji wa AJAAT Simon Kivamo (katikati)
na Meneja Mawasiliano wa AJAAT Perege Gumbo(kushoto)
Picha na Tiganya Vincent-MAELEZO- Dar es salaam
on Monday, December 16, 2013
Post a Comment