Wachezaji
wa timu ya Clouds Media Group wakifanya mazoezi mepesi kabla ya kuanza
kwa mtanange wa kufunga mwaka dhidi ya timu ya magorikipa wanaocheza
Ligi Kuu ya soka tanzania Bara.
Kocha mchezaji wa timu ya Clouds Media Group, Mbwiga Mbwiguke (kulia) akiwaongoza wachezaji wenzake katika mazoezi.
Wachezaji wa timu ya Makipa wanaocheza Ligi Kuu wakifanya mazoezi kwenye Uwanja wa Makurumla jijini Dar es Salaam.
Mchezajki swa timu ya Makipa, Ivo Mapunda akisalimiana na Shaffih Dauda.
Kikosi cha Clouds Media Group
Timu ya Makipa wa Ligi Kuu wakiwa katika picha ya pamoja.
Wachezaji
wa tizmu ziote mbili wakisimama kwa dakika moja kuomboleza kifo cha
kocha wa makipa wa timu ya Simba, Marehemu James Kisaka.
Mchezaji wa timu ya Makipa Shaban Kado akimiliki mpira huku Bakari Masuli (kulia) akijaribu kumzuia.
Said Saleh 'Mbwiga Mbwiguke' (katikati) akitafuta mbinu za kumpokonya mpira Ivo Mapunda.
"Huchukui mpira hapa,mwenzio nilianzia huku kabla ya kuwa nyanda"Ivo Mapunda huo akifanya yake.
Mbwiga Mbwiguke (kushoto), akichuana na Hussein Sharif.
Post a Comment