Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Hii picha ya Rais Obama kupeana mkono na Castro nayo imechukua headlines mitandaoni

Madiba 13
Madiba 12
Rais Barack Obama wa Marekani akiwa anazungumza kwenye #Mandelamemorial Johannesburg Afrika Kusini ambapo kabla ya kumiliki kipaza sauti alipita kuwasalimia viongozi mbalimbali waliokua karibu na alipokaa kabla ya kusogelea kipaza sauti.
Miongoni mwa aliowasalimia kwa kupeana mikono ni pamoja na Rais Jacob Zuma wa Afrika Kusini na Rais Castro ambapo hii ya kusalimiana na Rais Castro ndio imechukua headlines kwa sasa kutokana na historia iliyopo kati ya nchi hizi mbili.
madiba 11

 

Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top