JANA
imefanyika dua na kumbukumbu ya kumuombea Sajuki ambayo wasanii
mbalimbali wa maigizo walienda kwa ajili ya dua hiyo wakiongozwa na mke
wa marehemu Sajuki aitwae Wastara,Hizi ni baadhi ya picha zikiwaonyesha
wakiwa makaburini kwenye dua hiyo.
Shinda Mamilioni ya Pesa na Meridianbet Leo
18 minutes ago
Post a Comment