Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akisalimiana na
Kamishna Mpya wa Polisi Zanzibar Bwana Hamdan Omar Makame aliyefika
Ofisini kwake katika jengo la Baraza la Wawakilishi Zanzibar Mbweni
kujitambulisha rasmi baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.
Kamishna
wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame akibadilishana mawazo na Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif hapo Ofisini kwake Mbweni nje
kidogo ya Mji wa Zanzibar.Picha na Hassan Issa-Ofisi ya Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar
Post a Comment