Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana (wapili kulia) akikagua ujenzi wa
barabara ya lami ya eneo la kilometa 30 kutoka Mbeya hadi Chunya, wakati
msafara wake ulipopita katika barabara hiyo ukienda Chunya, akiwa katika ziara
ya kukagua utekelezaji wa ilani ya CCM, kusikiliza kero za wananchi na
kujaduiliana nao njia za kuzitatua mkoani Mbeya, Nov 30, 2013. Kulia ni Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye na watatu ni Katibu wa NEC Siasa na
Uhusiano wa Kimataifa Dk. Asha-Rose Migiro na Mkuu wa mkoa wa Mbeya Abbas
Kandoro anaofuatana nao kwenye ziara hiyo.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akipandisha bendera kuzindua shina la
wajasiriamali wa CCM, katika kituo cha mabasi cha mjini Chunya, akiwa
katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya chama, kusikiliza kero za
wananchi na kujadiliana nao njia sahihi ya kuzitatua, mkoani Mbeya, Nov
30, 2013.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akizungumza na wananchi baada ya
kuzindua shina la wajasiriamali wa CCM, katika kituo cha mabasi cha
mjini Chunya, akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya chama,
kusikiliza kero za wananchi na kujadiliana nao njia sahihi ya kuzitatua,
mkoani Mbeya, Nov 30, 2013.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akimsikiliza Kijana, Frank Mwapololo,
ambaye ni mmoja wa wachimbaji wadogo katika machimbo ya mafunzo kwa
ajili ya wachimbaji wadogo, yaliyopo Chunya, alipozungumza na
wajasiriamali wa mradi huo, Nov 30, 2013, akiwa katika ziara kukagua
utekelezaji wa ilani ya chama, kusikiliza kero za wananchi na
kujadiliana nao njia sahihi ya kuzitatua, mkoani Mbeya.
Katibu
wa NEC, Itikadi na Uenezi Nape Nnauye (wapili kulia) akimrekebishia
sawasawa vazi, Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, baada ya wazee wa
Kata ya Lupa, wilayani Chunya, kumvalisha vazi la wazee wa Kata hiyo,
akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya chama, kusikiliza
kero za wananchi na kujadiliana nao njia sahihi ya kuzitatua, mkoani
Mbeya, Nov 30, 2013.
Katibu
Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana akikabidhi mashine isiyotumia umeme, ya
kufyatulia matofali, kwa kikundi cha wajasiamali, wakati wa mkutano wa
hadhara aliofanya Nov 30, 2013, katika Kata ya Lupa, wilayani Chunya,
akiwa katika ziara kukagua utekelezaji wa ilani ya chama, kusikiliza
kero za wananchi na kujadiliana nao njia sahihi ya kuzitatua, mkoani
Mbeya, Nov 30, 2013. Wengine ni Mkuu wa mkoa huo, Abbas Kandoro na
Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye.
Picha zote na Bashir Nkoromo








Post a Comment