Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAADHIMISHO YA SIKU YA KUZUIA RUSHWA DUNIANI YAFANYIKA ZANZIBAR

 


DSC_1444
Waalikwa mbalimbali waliohudhuria katika Maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika huko katika Uwanja wa Judo Amaan Mjini Zanzibar.DSC_1483Mkurugenzi Mkuu wa  Mamlaka ya kuzuia rushwa na Uhujumu Uchumi Zanzibar Mussa Haji Ali akitoa hotuba ya makaribisho katika Maadhimisho ya siku ya Kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika huko katika Uwanja wa Judo Amaan Mjini Zanzibar.DSC_1496
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi akitoa hotuba katika maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika katika Kiwanja cha Judo Amaan Mjini Zanzibar kulia yake ni  Katibu Mkuu wa Ofisi ya Rais Ikulu na EUtawala Bora Salum Maulid na Kushoto yake ni Mkurugenzi Mkuu wa mamlaka ya kuzuia Rushwa Zanzibar Mussa Haji Ali.DSC_1505
Mkuu wa Mkoa wa Mjini Magharibi Abdalla Mwinyi katikati akiwa katika Picha ya pamoja na Viongozi wa Mamlaka ya kuzuia Rushwa Zanzibar,katika Maadhimisho ya siku ya kuzuia Rushwa Duniani yaliofanyika katika uwanja wa Judo Amaan Zanzibar.
PICHA NA YUSSUF SIMAI-MAELEZO ZANZIBAR.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top