Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akimakabidhi zawadi Naibu Makamo Mkuu wa Chuo Taaluma Dk.Haji Mwevora
Haji.kwa niaba ya aliyekuwa Mwenyekiti wa Baraza la Chuo Mzee Hassan
Nassoro Moyo,wakati wa sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika
kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,katikati Makamo Mkuu wa
Chuo Prof Idriss Ahmada Rai.[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akimakabidhi Cheti cha Ukutubi Miza Juma Makame,akiwa mwanafuzi Bora
katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu
Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akimakabidhi Cheti cha Teknolojia ya Kompyuta Aziza Hamadi Ali,akiwa
mwanafunzi bora wa somo hilo katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo
hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na
Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akimakabidhi Cheti cha Stashahada ya Uongozi wa Elimu na Utawala Masoud
Hamad Omar,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi
ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akimakabidhi zawadi maalum Ghazal Abdulkadir Ali,akiwa mwanafunzi bara
wa masomo ya Kompyuta kwa mwaka 2012/2013,iliyotolewa na Waziri wa
Miundombinu na Mawasiliano Mhe,Rashid Seif,katika sherehe za mahfali ya 9
ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja
jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha
Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi maalum Hamisa Abdulrahim Shaaban,akiwa mwanafunzi bora wa somo la Sayansi na Elimu,iliyotolewa na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Wanawake,Bi Zainab Omar Mohamed,kwa mwaka 2012/13,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Zanzibar (SUZA) akimakabidhi zawadi maalum Hamisa Abdulrahim Shaaban,akiwa mwanafunzi bora wa somo la Sayansi na Elimu,iliyotolewa na Waziri wa Uwezeshaji,Ustawi wa Jamii,Wanawake,Bi Zainab Omar Mohamed,kwa mwaka 2012/13,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Mkuu wa Chuo Kikuu cha Taifa cha Zanzibar (SUZA)
akimakabidhi zawadi maalum kwa mfanyakazi bora Ibrahim
Ahmed Ibrahim,katika sherehe za mahfali ya 9 ya Chuo hicho katika
kampasi ya Tunguu Wilaya ya Kati Unguja jana,[Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.]
Post a Comment