Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Uwekezaji na Uwezeshaji, Dr. Mary
Nagu (kushoto) na Waziri wa Ushirikiano wa Afrika ya Mashariki, Samuel
Sitta (kulia) wakiteta na Mbunge wa Same Mashariki, Anne Kilango
Malecela, bungeni mjini Dodoma Desemba 13, 2013. (Picha a na Ofisi ya
Waziri Mkuu)
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akizungumza na Waziri wa Ujenzi, John Magufuli, bungeni mjini Dodoma Desemba 13, 2013.
Post a Comment