Waziri
Mkuu Mstaafu na Mbunge wa Jimbo la Monduli,Mh. Edward Lowassa akitoa
heshima za mwisho kwa mwili wa Marehemu David Pelo Kivuyo aliekuwa
Diwani wa zamani wa Makuyuni.Pelo ambaye pia aliwahi kuwa Mwenyekiti wa
Halmashauri ya Monduli, alifariki tarehe 22 Desemba na kuzikwa nyumbani
kwake Makuyuni leo Desemba 28.Alifariki kutokana na maradhi ya
shirikisho la damu.
Chanzo;michuzi blog
Post a Comment