Yaelekea mwanadada Jackie alikuwa amejipanga kisawa sawa na alijitoa
muhanga na kujua lolote lingeweza kumpata kutokana na kazi aliyo kuwa
akifanya ya kubeba sembe. Jackie alijipanga na kuamua kumuachia rafiki
yake kipenzi Martin Kadinda maagizo na wosia wake just incase ikatokea
akafariki. Jackie aliweza kuandika ujumbe huo kwenye status yake ya BBM
kama inavyo onekana hapa chini.
Jackie amekamtwa mapema mwezi huu Macau, China na kilo 1.1 za heroin na
sasa anasubiria hatma yake kutokana na kosa hilo la kusafirisha madawa
ya kulevya.
Katika maisha kila mtu ana yule rafiki mmoja (BFF) ambaye anamuamini na kumweka moyoni mwake kama ilivyo kwa Jackie na Marin.
Post a Comment