Kuna taarifa zimeenea usiku huu kuwa Mzee Small kafariki, hizo taarifa si za kweli bali ni uongo mtupu ulio sambazwa mitandaoni.
Tumeweza
kuongea na mtoto wake usiku huu aitwae Mahamoud na kuthibitisha kuwa
baba yake yu hai hajafariki. "baba yu mzima na wala hajafariki kwani
nimetoka kumjulia khali mda si mrefu na ni mzima anaendelea vizuri na
hizo taarifa ni za uongo "
Post a Comment