Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

SSRA YAJADILIANA NA JUKWAA LA WAHARIRI KUHUSU MPANGO MKAKATI WA KUPANUA WIGO WA HIFADHI YA JAMII KUPITIA ELIMU KWA UMMA



Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Bi. Irene Isaka (aliesimama) akiwasilisha mada kuhusiana na hali halisi ya sekta ya hifadhi ya jamii nchini,changamoto na mafanikio wakati wa semina ya siku moja iliyotolewa kwa Wahariri wa Nyombo mbali mbali vya habari nchini kupitia Jukwaa la Wahariri,iliyofanyika Mwishoni mwa wiki katika Hoteli ya Oceanic,Bagamoyo.
Mhariri Mkuu wa gazeti la Nipashe,Jesse Kwayu akiuliza swali mara baada ya uwasilishwaji mada.
Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Irene Isaka akisisitiza jambo juu ya umuhimu wa vyombo vya habari katika kutoa elimu ya hifadhi ya jamii kwa wananchi.kushoto kwake ni Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri nchini,Absalom Kibanda  na kushoto kwake ni Mkuu wa Kitengo cha Mawasiliano na Uhamashishaji wa Mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA), Sarah Kibonde – Msika.
Baadhi ya wahariri wakuu wa vyombo mbalimbali vya habari nchini wakisiliza mada iliyokuwa ikiwasilishwa na Mkurugenzi Mkuu wa Mamlaka ya Usimamizi na udhibiti wa Sekta ya Hifadhi ya Jamii (SSRA),Bi. Irene Isaka (hayupo pichani).
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top