KATIBU
wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa, akizungumza na washiriki
wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni, katika
ukumbi wa Road View, mkoani Morogoro, mwishoni mwa semina hiyo, Des 18,
2013. Pamoja naye ni Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya Kinondoni, Charles
Mgonja na Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni Salum Madenge. (Picha na
Bashir Nkoromo). Washiriki
wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni, wakiwa
katika ukumbi wa Road View, mkoani Morogoro, Des 18, 2013, wakati wa
semina hiyo.
Katibu
Mwenezi wa CCM, mkoa wa Dar es Salaam, Juma Simba akizungumza na
washiriki wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni,
katika ukumbi wa Road View, mkoani Morogoro, mwishoni mwa semina hiyo,
Des 18, 2013. Wengine kutoka kulia ni Mwenyekiti wa Wazazi Wilaya ya
Kinondoni, Charles Mgonja, Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Kinondoni Salum
Madenge na Katibu wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa. Kushoto
ni Katibu wa Wazazi mkoa wa Dar es Salaam, Mohamed Cholage. (Picha na
Bashir Nkoromo).
Katibu
wa CCM mkoa wa Dar es Salaam, Abilah Mihewa (kulia) akiingia ukumbini
kujumuika na washiriki wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi wilaya
ya Kinondoni, katika ukumbi wa Road View, mkoani Morogoro, Des 18,
2013.Picha na Bashir Nkoromo). Washiriki
wa semina ya Viongozi wa Jumuia ya Wazazi wilaya ya Kinondoni, wakila
kiapo cha kuyashika mafunzo, walipokuwa kwenye semina hiyo, katika
ukumbi wa Road View, mkoani Morogoro, Des 18, 2013. (Picha na Bashir
Nkoromo).Mwenyekiti
wa CCM wilaya ya Kinondoni, Salum Madenge akimshukuru Katibu wa Itikadi
na Uenezi, CCM mkoa wa Morogoro Dorothy Mwamsiku baada ya Katibu huyo
kufungua semina ya viongozi wa Jumuia ya Wazazi ya CCM, Wilaya ya
Kinondoni, katika ukumbi wa Road View mkoani Morogoro, Des 17, 2013.
(Picha na Bashir Nkoromo).
Post a Comment