Aliyekuwa Katibu wa CCM Mkoa wa Iringa Bw. Emanuel Mteming'ombe. Bw. Mteming'ombe
KATIBU
wa chama cha mapinduzi (CCM) mkoa wa Iringa Bw Emanuel Mteming'ombe
amefariki dunia katika hospital ya mkoa wa Iringa.
Katibu
huyo alikuwa amelazwa katika Hospital ya mkoa wa Iringa kwa
zaidi ya siku moja akisumbuliwa kwa ugonjwa athima na leo amefariki
dunia.
Mwenyekiti
wa CCM mkoa wa Iringa Jesca Msambatavangu amethibitisha juu ya
taarifa hiyo na kuwa taratibu za mazishi zinafanywa
Post a Comment