Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

WAZIRI MKUU MHE. PINDA MGENI RASMI MAHAFALI YA CBE

 


PG4A7215
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda  akimkabidhi zwadi  Revocatus Mavuno ambaye alifanya vizuri kwa wanafunzi wa ngazi  ya Stashahada katika mahafali ya Chuo cha Biashara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Klabu ya Sigara iliyopo Chang’ombe jijini Dar es salaam Novemba  30, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) PG4A7209
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akimkabidhi Cheti cha ubora Baraka Magure ambaye aliibuka kuwa mwanafunzi aliyefanya vizuri katika wahitimu wa  Shahada katika mahafali ya Chuo cha Biashara yaliyofanyika kwenye viwanja vya Klabu ya Sigara iliyopo Chang’ombe jijini Dar es salaam Novemba  30, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright 2025 EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG | Designed By Code Nirvana
Back To Top