Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,(wa pili kulia) akizungumza na Uongozi wa Ofisi ya Makamo wa Pili
wa Rais,katika kikao cha kujadili utekelezaji wa Mpango kazi wa Ofisi
hiyo,wa mwaka wa fedha 2013-2014 na robo ya kwanza ya mwaka wa fedha
2013-2014,katika Ukumbi wa Mikutano Ikulu Mjini Zanzibar,(kulia) Makamo
wa Kwanza wa Rais Maalim Seif Sharif
Hamad,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji,(kusho) na Katibu Mkuu Kiongozi DSk.Abdulhamid Yahaya Mzee .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Hamad,(kulia) Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamo wa Kwanza wa Rais Fatma Abdulhabib Fereji,(kusho) na Katibu Mkuu Kiongozi DSk.Abdulhamid Yahaya Mzee .[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Post a Comment