Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikutana na Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya
wakati wa nmkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Africa Mashariki
unaofanyika jijini Kampala Uganda leo.

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete, Rais Pierre Nkurunzinza wa Burundi,Rais
Yoweri Museveni wa Uganda,Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na Rais Paul
Kagame wa Rwanda wakiwa katika mkutano katika hoteli ya Munyonyo jijini
Kampala wakati wa mkutano wa wakuu wa nchi za Jumuiya ya Afrika
Mashariki leo(picha na Freddy Maro)
Post a Comment