Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.ALi Mohamed
Shein,akizungumza na Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Daniel Ole
Njooley,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar kumuaga Rais leo,baada ya
kuteuliwa kushika nafasi hiyo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.] 
Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Ali Mohamed
Shein,akiagana na Balozi wa Tanzania Nchini Nigeria Daniel Ole
Njooley,alipofika Ikulu Mjini Zanzibar leo,baada ya kuteuliwa kushika
nafasi hiyo,[Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.]
Post a Comment