Mkuu
wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Ernest Mangu akisalimiana na Makamu wa
Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi aliyefika Ofisini kwake
Baraza la Wawakilishi Nje kidogo ya Mji wa Zanzibar kujitambulisha rasmi
baada ya kuteuliwa kushika wadhifa huo.Kati kati yao kutoka kushoto ni Naibu IGP Kamanda Abdulrahman Omar Juma na Kamishna wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame.
IGP
Ernest Mangu akimuelezea Balozi Seif Mikakati ya Jeshi la polisi katika
ulinzi wa raia na mali zao walipokutana katika Ofisi ya Makamu wa Pili
wa Rais wa Zanzibar iliyopo Baraza la Wawakilishi Zanzibar.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif ali Iddi akiwa katika picha ya
pamoja na kulia yake Mkuu wa Jeshi la Polisi Tanzania IGP Ernest Mangu,
kushoto ni Naibu wa IGP Kamanda Abdulrahman Omar Juma pamoja na Kamishna
wa Polisi Zanzibar Hamdan Omar Makame.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akizungumza na
Mkurugenzi mpya wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar Nd. Johari Masoud Sururu
aliyefika Ofisini kwake Mbweni kujitambulisha rasmi.
Makamu
wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif Ali Iddi akiagana na
Mkurugenzi mpya wa Idara ya Uhamiaji Zanzibar Nd. Johari Masoud Sururu
baada ya kujitambulisha rasmi huko Ofisini kwake Mbweni nje kidogo ya
Mji wa Zanzibar.(Picha na Hassan Issa wa – OMPR)
Post a Comment