THE UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
DIRECTORATE OF PRESIDENTIAL COMMUNICATIONS
Telephone: 255-22-2114512, 2116898
E-mail: ikulumawasiliano@yahoo.com
Fax: 255-22-2113425 |
PRESIDENT’S OFFICE,
THE STATE HOUSE,
P.O. BOX 9120,
DAR ES SALAAM.
Tanzania.
|
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Katibu
Mkuu Kiongozi na Mkuu wa Utumishi wa Umma, Balozi Ombeni Y. Sefue
ambaye ni Katibu wa Baraza la Mawaziri, kesho, Jumapili, Januari 19,
2014, saa 5 asubuhi atazungumza na waandishi wa habari katika mkutano
utakaofanyika Ikulu, Dar es Salaam.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu,
DAR ES SALAAM.
18 Januari, 2014
Post a Comment