Taarifa
zilizotufikia Katika Meza yetu ya lukaza blog hivi punde kutoka kwa
Mdau wetu zinasema kuwa Mbunge wa Chalinze (CCM) Mh. Said Bwanamdogo
amefariki Dunia leo asubuhi katika Taasisi ya Mifupa MOI, alikokuwa
amelazwa baada ya kuugua kwa muda mrefu, Ofisi ya Bunge inaendelea na
Taratibu za mazishi/maziko baada ya kuwasiliana na ndugu wa marehemu
Habari zaidi tutajuzana kadri zinavyotufikia
..... Endelea kuwa na NDGSHILATU BLOG ....
Post a Comment