Pichani juu ni taswira za Beautiful Onyinye, Wema Isaac Sepetu alizotupia katika ukurasa wake wa Instagram ambapo mojawapo aliandika hivi "For my baby... yes you...". Mrembo huyu kwa sasa yupo na aliyekuwa mpenzi wake wa zamani Staa wa Bongo Fleva, Nasibu Abdul 'Diamond Platnumz'.
GPL
Post a Comment