Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

Breaking Newssss ... Mabadiliko Baraza la Mawaziri 2014.. Watano watoswa, wapo waliopanda vyeo na sura mpya pia zipo ... Kuapishwa kesho saa 10 Ikulu Dar es salaam

https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEhtNcp5EUztkL0YSWFVShD6AhxQxlCo7pX70-PgkFIHow-46r6sgFnE9VcXD1G2ZTjbRZX5X55eNSBX8Jqa7GYX-cXUzfZefmdJj3jUDA5_L2jldAKeiSLQg77B-m0EUEqf1xXm-8b_HAM/s1600/sefue.jpg
Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi Ombeni Sefue akitangaza Majina yaliyopo kwenye mabadiliko ya Baraza la Mawaziri 2014


- Hakuna Mabadiliko Ofisi ya Rais
- Ofisi ya Makamu Wa Rais - Naibu Waziri Kitwanga amehamishwa na nafasi yake imejazwa na Mhe. Ali Mwalimu
- Mwigulu Nchemba amekuwa Naibu Wizara ya Fedha (Sera). Aliyekuwa nafasi hiyo sasa ni Waziri Kamili
- Uchumi na Mapato sasa anatoka Janet Mbene na inajazwa na Adam Malima
- Asharose Migiro sasa ni Waziri wa Katiba na Sheria
- Ulinzi na Kujenga Taifa => Hussein Mwinyi
- Mambo ya Ndani - Mathias Chikawe
- Afya na Ustawi wa Jamii - Naibu wake sasa ni Waziri Kamili; naibu wa sasa ni Dr. Kebwe S. Kebwe


- Mulugo ameondoshwa rasmi serikalini. Nafasi yake imejazwa na Jenista Muhagama
- Pindi chana amejaza nafasi ya Ummi Mwalimu - Jinsia na watoto
- Mifugo na Maendeleo ya Mifugo - Titus Kamani atakuwa Waziri mpya. Naibu ni Telele na hivyo Wizara nzima imepata mawaziri wapya
- Ole Medeye OUT - Simbachawene kachukua nafasi yake (Naibu wa Prof. Tibaijuka)
- Naibu Kilimo - Zambi
- Habari - Naibu ni Juma Nkamia
- Nyalandu amekuwa Waziri Kamili. Naibu ni Mahmood Hassan Mgimwa
- Muhongo na Naibu wake wamebakizwa. Nishati atachukua Charles Kitwagwa akiichukua toka kwa Simbachawene

Saada Mkuya ni waziri wa fedha mpya, 

Asha Migiro ni waziri Katiba na Sheria

Waziri wa Ulinzi Hussein Mwinyi

Malima Waziri Mdogo Fedha

Kebwe ni Waziri Mdogo Afya

Chikawe ni Waziri Mpya Ndani 

Mhagama Waziri Mdogo elimu 

Pindi chana Waziri Mdogo Watoto Kinana Mama

Dr. Lengeya Kamani Waziri wa Mifugo 

Waziri Mdogo Telele Mifugo
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top