Home » Unlabelled » HALI ILIVYOKUWA MAHAKAMANI KWENYE KESI YA ZITTO KABWE NA CHADEMA LEO HII .... TAZAMA HALI ILIVYOKUWA KUANZIA MWANZO HADI MWISHO ... HALI ILIKUWA TETE
Mbunge
wa Jimbo la Kigoma Kaskazini, Zitto Z. Kabwe pamoja na Mwanasheria
wake,Albert Msando (kulia) wakiwasili katika Mahakama Kuu jijini Dar es
Salaam leo huku wakiongozana na wafuasi wanaopinga kuvuliwa uongozi
wake,tayari kwa kwenda kusikiliza kesi yake aliyoifungua dhidi ya Chama
Chake cha CHADEMA inayosikilizwa leo Mahakama Kuu.
Polisi wakiwadhibiti wafuasi wa Zitto na wale wanaompinga nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar kabla ya hukumu kutolewa.
Wafuasi wa Zitto wakiwa na mabango.
Wanaompinga Zitto wakiwa na mabango yao nje ya Mahakama Kuu Kanda ya Dar es Salaam.
Polisi wakituliza vurugu nje ya Mahakama Kuu leo.
Ulinzi ukiwa umeimarishwa katika mlango wa kuingia Mahakama Kuu leo.
Post a Comment