MKURUGENZI wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Amatus Liyumba leo ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa inamkabili katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Liyumba ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo. Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando asubuhi.
(PICHA / HABARI: HARUNI SANCHAWA / GPL)
********
MKURUGENZI
wa zamani wa Utawala na Utumishi (DPA) wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT),
Amatus Liyumba ameshinda kesi ya kukutwa na simu gerezani iliyokuwa
inamkabili hivi punde katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar
es Salaam.
Liyumba
ameshinda kesi hiyo baada ya upande wa Jamhuri na mchunguzi wa kesi
hiyo kushindwa kuithibitishia mahakama kuhusu tuhuma hiyo.
Hukumu hiyo imesomwa na Hakimu Mkazi, Augustina Mmbando kuanzia saa 3:30 mpaka 4:20 asubuhi.
Post a Comment