Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao king class alishinda kwa point |
Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umaili wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao king class alishinda kwa point |
USHINDI RAHA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AKINULIWA MKONO JUU BAADA YA KUMDUNDA MUSTAFA DOTTO WAKATI WA KUSHEREKEA USIKU WA MWAKA MPYA |
Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Cosmas Cheka wakati wa mpambano wao wa kuuwaga mwaka na kuukaribisha mwaka mpya mpambano huo ulito droo |
Cosmas Cheka na Iddy Mnyeke wakipambana |
MABONDIA WAKISUBILI MATOKEO AMBAYO YALIKUWA NI DROOpicha na www.superdboxingcoach. |
Post a Comment