Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MAKAMANDA WA JUU WAFUTWA KAZI JESHI LA NIGERIA

 

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan, amewafuta kazi makamanda wake wakuu wa jeshi ,na kufanya mabadiliko ambapo amemteuawa mkuu wake wa ulinzi, wakuu wa majeshi ya anga na majini .Hakuna sababu iliyotolewa kuhusu hatua hiyo .
Mkuu wa mpya wa majeshi Alex Badeh, anatoka kaskazini mashariki mwa nchi hiyo.

Jeshi la Nigeria limekuwa likihangaika kudhibiti uasi wa kundi la kiislam la , Boko Haram, ambalo limekuwa likiendesha harakati zake zaidi katika maeneo ya Kaskazini Mashariki mwa nchi.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top