Msimamizi wa Tume ya Uchaguzi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Suluhu Ali
Rashid, akitowa maelezo kwa Mgombea wa CHADEMA Bwa Hashim, alipofika
Ofisi za Tume ya Uchaguzi ya Wilaya ya MjiniMagharibi Maisara kuchukua
fomu ya kugombea Uwakilishi wa Jimbo hilo lillilokuwa Wazi baada ya
Mwakilishi wake kuvuliwa Uwanachama na Chama chake Mhe, Mansoor Yussuf
Himid, mwaka jana
Msimamizi wa Tume ya Uchaguzi Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar Suluhu Ali
Rashid, akimkabidhi Fomu Mgombea wa Uwakilishi wa Uchaguzi Mdogo wa
Jimbo la Kiembesamaki unaotarajiwa kufanyika mwezi ujao.
Mgombea Uwakilishi Jimbo la Kiembesamaki Bwa. Hashim Juma Issa akisaini
baada ya kupokea fomu hizo kutoka kwa Msimamizi wa Tume ya Uchaguzi wa
Jimbo la Kiembesamaki Zanzinar
Post a Comment