Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mwenyekiti wa
CCM Mkoa wa Mjini Unguja, Borafya Silima alipowasili kwenye uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 22-2014 kwa
ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa Jimbo
la Kiembesamaki Zanzibar utakaofanyika leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Katibu wa CCM
Mkoa wa Mjini Unguja, Alhajj Rajab Kundiya alipowasili kwenye uwanja wa
ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo tarehe 22-2014
kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo wa Uwakilishi wa
Jimbo la Kiembesamaki Zanzibar utakaofanyika leo.
Mjumbe
wa Kamati Kuu ya CCM Taifa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania Mhe. Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Mgombea
Uwakilishi Jimbo la KiembeSamaki CCM Mahmoud Thabit Kombo, alipowasili
kwenye uwanja wa ndege wa kimataifa wa Abeid Amani Karume Zanzibar leo
tarehe 22-2014 kwa ajili ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi mdogo
utakaofanyika leo.(Picha na OMR)
Post a Comment