Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi mwongozo mpya wa huduma za
kuzuia maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto,
(PMTCT OPTION B+) kwa Mkoa wa Dar es Salaam katika sherehe iliyofanyika
katika ukumbi wa Mwalimu Nyerere tarehe 22.1.2014.
Washiriki
waliohudhuria sherehe za uzinduzi wa mwongozo mpya wa huduma za kuzuia
maambukizi ya virusi vya ukimwi kutoka kwa mama kwenda kwa mtoto
wakisikiliza na kushangilia hotuba ya uzinduzi iliyokuwa ikitolewa na
Mke wa Rais Mama Salma Kikwete aliyekuwa Mgeni rasmi kwenye uzinduzi huo
uliofanyika kwenye ukumbi wa Mwalimu Nyerere tarehe 22.1.2014.
Post a Comment