:- Makamu wa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akizungumza
na Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka
(katikati) na Mshauri wa masuala ya Sarafu, Hassan Jarufu, wakati
walipofika Ofisini kwake Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014 kwa
ajili ya kumkabidhi Sarafu ya Kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi. Picha
na OMR
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa
Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akipokea Sarafu ya kumbukumbu ya
miaka 50 ya Mapinduzi yenye uzito ya g 16, kutoka kwa Meneja wa Sarafu
wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (katikati) na Mshauri wa
masuala ya Sarafu, Hassan Jarufu, wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014 kwa ajili ya kumkabidhi Sarafu
hiyo. Picha na OMR 
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiitazama Sarafu ya kumbukumbu ya miaka 50 ya Mapinduzi yenye uzito
ya g 16, baada ya kuipokea kutoka kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT) Jovent Rushaka wakati walipofika Ofisini kwake Ikulu
jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014 kwa ajili ya kumkabidhi Sarafu
hiyo. Picha na OMR
Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal,
akiwa katika picha ya pamoja na kwa Meneja wa Sarafu wa Benki Kuu ya
Tanzania (BoT) Jovent Rushaka (kushoto) na Mshauri wa masuala ya Sarafu,
Hassan Jarufu baada ya kukabidhiwa Sarafu maalum ya kumbukumbu ya miaka
50 ya Mapinduzi yenye uzito wa g 16, baada ya kukabidhiwa Ofisini kwake
Ikulu jijini Dar es Salaam leo Jan 7, 2014. Picha na OMR
Post a Comment