Makamu
wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal
na mkewe Mama Zakia Bilal, wakisalimiana na baadhi ya viongozi wa Ulinzi
na usalama, wakati wakiwasili kwenye Uwanja wa Amani, kwa ajili ya
kuhudhuria sherehe za maadhimisho ya miaka 50 ya Mapinduzi Matukufu ya
Zanzibar, mjini yaliyofanyika leo. Picha na OMR
Loading...
Post a Comment