Mzee Yusufu Makamba akishauriana jambo na mwanae January Makamba wakati wa shughuli za mazishi zikiendelea.
Mzee Yusufu Makamba amefiwa na mama yake mzazi aliyefahamika kama Mariam Masau Kivugo kilichotokea tarehe 21 January 2014.
Mzee Yusufu Makamba amefiwa na mama yake mzazi aliyefahamika kama Mariam Masau Kivugo kilichotokea tarehe 21 January 2014.
Mzee Yusufu Makamba akiwa na mwanae
January Makamba wakitafakari jambo baada ya kupata msiba mkubwa wa
kufiwa na Mama mzazi wa Mzee Yusufu Makamba, Mariam Kivugo.
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wazazi Taifa
Ndugu Abdallah Majura Bulembo akitoa salaam za pole kwa wafiwa wakati wa
mazishi ya Bibi Mariam Masau Kivugo.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye akitoa salaam za pole kwa niaba ya Chama kwa Mzee Yusufu Makamba
na Familia yake wakati wa mazishi ya Mama wa Mzee Yusufu Makamba.
Mamia ya watu wakimsikiliza Naibu Waziri
wa Sayansi na Teknolojia Ndugu January Makamba wakati akitoa salaama za
shukrani kwa niaba ya familia kwa wananchi wote waliojitokeza kwenye
mazishi ya Bibi yake Marehemu Mariam Masau Kivugo yaliofnyika
Mehazangulu,Tanga.(P.T)
Mwili wa Marehemu Mariam Kivugo ukipelekwa msikitini kwa ajili ya kuombewa kabla ya kuelekea makaburini.
Watu wakiwa kwenye nyuso za huzuni wakati wa mazishi ya Bibi Mariam Kivugo ambaye pia ni mama wa Mzee Yusufu Makamba.
:
Katibu wa NEC itikadi na Uenezi Nape
Nnauye akishiriki kuweka udongo kwenye kaburi la mama wa Mzee Yusuf
Makamba aliyefariki tarehe 20 Januari 2014.
Post a Comment