Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MTOTO AUWAWA NA KUTUPWA PEMBENI YA SOKO LA WAKULIMA KAHAMA'

 


TUKIO LA KUSIKITISHA NA KUHUDHUNISHA SANA KTK YA MJI WA KAHAMA UNGELIONA LIVE LAZIMA ULIE BINADAM WENGINE NI ZAIDI YA WANYAMA TAZAMA MAITI HII YA HUYU MTOTO MDOGO YAKUTWA MAENEO YA SOKO LA WAKULIMA PEMBENI MWA NYUMBA ZA NATIONAL HOUSE MDA HUU TUKIO LINA HISIWA KUFANYIKA USIKU WA KUAMKIA LEO NA MDA HUU ASIKARI WANAFANYA MPANGO WA KUCHUKUWA MWILI WA MAREHEMU. 
WAKAZI WA KAHAMA WAKIANGALIA TUKIO HILO.

UMATI WA WATU UKIJAA ILI KUWEZA KUMTAMBUA MTOTO HUYO.
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top