MTU mmoja
aliyetuhumiwa kuwa ni mwizi amenusurika kufa baada ya kundi la wananchi
kumpa kipigo cha maana, leo mchana katika eneo la Mbezi-Darajani, Kawe
mjini Dar es Salaam. Mtu huyo ambaye jina lake halikuweza kupatikana
mara moja inadaiwa alikutwa akiruka geti kuingia ndani kwenye nyumba ya
mkazi moja wa eneo hilo. Picha zifuatazo ni baadhi ya matukio wakati
mtuhumiwa huyo alipokuwa akipata kichapo hicho. (Picha zote na Bashir Nkoromo)
on Friday, January 31, 2014
Post a Comment