Featured
    KWA HABARI NA MATANGAZO EMAIL : pbuyegu2@gmail.com ... Get a superior results by advertising with us by E- Mail us pbuyegu2@gmail.com We will bring Your Business to Light

    Featured Posts

Loading...

MUIGIZAJI WA ZAMANI WA JUMBA LA DHAHABU AJERUHIWA VIBAYA

 




Kwa mwaka 2014 inawezekana ikawa ni tukio la kwanza kumtokea msanii aliyekua mshiriki kwenye tamthilia ya jumba la Dhahabu msanii Basupa kuhusu kuvamiwa kupigwa na kuporwa baadhi ya vitu vyake.Miongoni mwa vitu walivyochukua ni pamoja na simu zake ambapo taarifa inasema kuwa ilikua usiku maeneo ya Mwanayamala Komakoma alipokua anaenda kununua chips wakati anarudi kwenye gari yake ndipo alipovamiwa na vijana hao.
IMG-20140119-WA0002

Millardayo.com inaendelea kufatilia habari hizi ikiwa ni pamoja na kumsikiliza Basupa mwenyewe akielezea hili tukio.

Credit:-Mill
Download Our App

Post a Comment

CodeNirvana

BLOG RAFIKI

© Copyright EMMANUEL SHILATU - BREAKING NEWS BLOG
Back To Top